Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao
cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2,
2017.
Makamu Mwenyekiti wa kamati ya Haki,Maadili na
madaraka ya Bunge Mhe.Almas Maige
akisoma hoja za kamati hiyo kuhusu Shauri la kudharau Mamlaka ya Spika
linalowahusu Mhe.Freeman Mbowe,Mhe Halima Mdee na Mhe.Ester Bulaya na Shauri la kuingilia
Uhuru na Haki za Bunge linalowahusu Bw.Paul
Makonda na Pastory Mnyeti katika kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.
Mbunge wa Kigoma Kaskazini (CCM) Mhe.Peter
Serukamba akizungumza jambo na Mbunge wa Nzega Mjini Mhe.Hussein Bashe katika
kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei
2, 2017.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dkt,Ashatu Kijaji akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao
cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2,
2017.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.
Hamadi Masauni akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika katika kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.
Naibu Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii ,Jinsia
,Wazee na Watoto Mhe.Dkt Khamis Kigwangala akijibu maswali mbalimbali ya
wabunge katika katika kikao cha kumi na
tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.
Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi
Mhe.William Ole Nasha akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika katika kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais –TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge
katika katika kikao cha kumi na tano cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.
Waziri wa
Nishati na Madini Mhe.Prof.Sospeter Muhongo
akitolea ufafanuzi hatua zilizochukuliwa na Serikali juu ya Tetemeko la
ardhi lilitokea Mkoani Kagera ivi Karibuni katika kikao cha kumi na tano cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe. Salma Kikwete na
Mbunge wa Mtwara Vijijini (CCM) Mhe. Hawa Ghasia wakijadili jambo katika kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.
Waziri wa Sera,Bunge,Kazi ,Vijana ,Ajira na wenye
Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza
jambo na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais –TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo
katika kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo
Mjini Dodoma Mei 2, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum(CHADEMA) Mhe.Upendo Peneza
akiuliza swali katika kikao cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11
leo Mjini Dodoma Mei 2, 2017.
Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na maendeleo ya
Makazi Mhe.Angelina Mabula akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao
cha kumi na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 2,
2017.













0 Comments