Wabunge wa CCM wakijadili jambo katika kikao cha kumi na Saba cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 4, 2017.
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Andrew
Chenge akiongoza kikao cha kumi na Saba
cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 4, 2017.
Mbunge wa Konde,Khatib Said Haji(CUF) akiuliza
swali katika kikao cha kumi na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo
Mjini Dodoma Mei 4, 2017.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais –TAMISEMI
Mhe.Selemani Jafo akijibu maswali
mbalimbali ya wabunge katika kikao cha
kumi na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 4, 2017.
Naibu Waziri
Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia Wambura na Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi na
Teknolojia wakifatilia hoja mbalimbali katika kikao
cha kumi na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 4,
2017.
Waziri wa Sera,Bunge,Kazi ,Vijana ,Ajira na
wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama wakizungumza jambo na Mbunge wa Iringa Mjini
Mhe.Peter Msigwa katika kikao cha kumi
na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 4, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
Sera,Bunge,Kazi ,Vijana ,Ajira na wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao
cha kumi na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 4,
2017.
Naibu Waziri Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo
Mhe.Anastazia Wambura akiwasilisha
randama ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo katika kikao cha kumi na Saba cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 4, 2017.
Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO,DODOMA








0 Comments