Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Job Ndugai akizungumza na Balozi wa Palestina nchini Mhe. Hazem
M.Shabat, ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Job Ndugai akimsikiliza Balozi
wa Palestina nchini Mhe. Hazem M.Shabat, wakati alipozungumza naye ofisini kwake jijini
Dar es Salaam.
Balozi wa Palestina nchini Mhe. Hazem
M.Shabat akimueleza jambo Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai wakati akimkabidhi barua Ofisini kwake jijini Dar
es Salaam.
(Picha na Ofisi ya Bunge).



0 Comments