Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe,Ayoub
Mohamed Mahmoud (mbele) wakati alipofika katika shehia ya Nyarugusu,
Jimbo la Pangawe leo alipofanya ziara maalum ya kuwafariji wananchi
ambao Nyumba zao zimepata athari ya kun'goka kwa mapaa kutokana na
Upepo mkali uliosabisha na uharibifu huo jana, ambao umepelekea
kukosa pahala pa kuishi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (wa tatu kulia) alipokuwa akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa
Shehia ya Nyarugusu Jimbo la Pangawe waliopatwa na maafa ya Nyumba zao
kung'oka Mapaa kutokana na Upepo Mkali uliotokea jana, alipofika
kuwafariji na kuwapa pole kutokana mtihani walioupata,wakati alipofanya
ziara maalum leo akiwa na Viongozi mbali mbali wa Jimbo hilo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Vijana waliojitolea kutoa msaada
kwa Wananchi wa Shehia ya Nyarugusu Jimbo la Pangawe waliopatwa na
maafa ya Nyumba zao kungoka Mapaa kutokana na Upepo Mkali uliotokea
jana, alipofanya ziara maalum ya kuwafariji wananchi hao leo alipofika
kutoa mkono wa pole.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto) alipokuwa akisalimiana na Nd,Abdalla Ali Mohamed
Mwananchi wa Makondeko Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
wakati alipofika Nyumbani kwake akiwa ni miongoni mwa Wananchi
waliopatwa na maafa ya Nyumba zao kungoka Mapaa kutokana na Upepo Mkali
uliotokea jana,Rais alifika katika shehia hiyo leo wakati alipofanya
ziara maalum ya kuwafariji Wananchi, na kutoa mkono wa pole,(katikati)
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe,Ayoub Mohamed Mahmoud
Wataoto wa maeneo ya Nyarugusu Wilaya ya Mjini,Unguja wakimuangalia Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani ) wakati alipofika katika shehia ya Nyarugusu, Jimbo la
Pangawe kuwafariji na kutoa pole kwa wananchi walioathirika na Nyumba
zao zilizobomoka kutokana na Upepo mkali uliotokea jana katika maeneo
yao na kupelekea uharibifu kwa kung'oka mapaa ya Nyumba wanazoishi,
wakati alipofanya ziara maalum leo,
Miongoni mwa Nyumba zilizoharibika kutokana na Upepo Mkali ulitokea jana
katika maeneo ya Nyarugusu Jimbo la Pangawe Mkoa wa Mjini Magharibi na
kupelekea Wananchi kukosa maakaazi ya kuishi,hali hilo aliiyona Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani ) wakati alipofanya ziara maalum leo katika Shehia hiyo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Shehia
ya Nyarugusu Jimbo la Pangawe waliopatwa na maafa ya Nyumba zao
kung'oka Mapaa kutokana na Upepo Mkali uliotokea jana, alipofika
kuwafariji na kuwapa pole kutokana mtihani walioupata,alipokuwa katika
ziara maalum leo akiwa na Viongozi mbali mbali wa Jimbo hilo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (wa pili kulia) alipokuwa akizungumza Waandishi wa Habari baada ya
kuwafariji na kutoa pole kwa Wananchi wa Shehia ya Nyarugusu Jimbo la
Pangawe waliopatwa na maafa ya Nyumba zao kung'oka Mapaa kutokana na
Upepo Mkali uliotokea jana, wakati alipofanya ziara maalum leo akiwa
na Viongozi mbali mbali wa Jimbo hilo.
[Picha na Ikulu.]








0 Comments