Msanii wa bongo flevar Kinde Makengeza anatarajia kuibuka na video mpya ya wimbo wake unao kwenda kwa jina la kidogokidogo
Pamoja na hayo Kinde amedai kua atafanya vizuri zaidi katika nyimbo hiyo husaa kwa upande wa video
Amesema
kua Director anaemtumia amemuhidi atatoa Kazi zake vizuri kuliko Kazi
zake ambazo alizo kua akizifanywa kipindi cha nyuma
Ameyasema hayo akizngumza na Z4news Media Group visiwani Unguja
Kwa
upande mwengine msanii huyo amewataka wasanii wa Zanzibar kuachana
majungu na chuki kwani vitu hivyo vitawapelekea kutopanada katika masoko
ya kimatiafa kimziki

0 Comments