Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe.Dk.Tulia Ackson akiongoza kikao
cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16,
2017.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk.Ashatu
Kijaji akifafanua jambo katika kikao cha
Ishirini na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16,
2017.
Waziri wa
Nishati na Madini Mhe.Prof Sospeter
Muhongo akizungumza jambo na Naibu Waziri wake Mhe.Dk.Medard kalemani katika kikao
cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16,
2017.
Naibu Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI
Mhe.Selemani Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Mbunge wa
Kuteuliwa Mhe.Abdallah Bulembo akiuliza
swali katika kikao cha Ishirini na Saba
cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.George
Simbachawene akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza
jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- Utumishi na Utawala Bora Mhe.Angellah
Kairuki leo katika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.
Waziri wa Mambo
ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba akijibu
maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao
cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16,
2017.
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akimskiliza Mbunge wa Mwibara Mhe.Kangi Lugora katika
viwanja vya Bunge leo Mjini Dodoma.Wengine Pichani ni Mbunge wa Mtama Mhe.Nnape
Nnauye
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Isack
Kamwelwe akifafanua jambo katika kikao
cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16,
2017.
Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba akizungumza jambo na Waziri wa Ulinzi na JKT
Mhe.Dk Hussein Mwinyi,Waziri wa Ardhi,Nyumba
na Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi na Waziri wa Maliasili na
Utalii Mhe.Prof Jumanne Magembe katika kikao
cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16,
2017.
Mbunge wa Viti Maalum(CCM) Mhe.Mary Mwanjelwa
akiuliza swali katika kikao cha Ishirini
na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017
Mbunge wa Sikonge(CCM) Mhe.Joseph Kakunda
akiuliza swali katika kikao cha Ishirini
na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles
Mwijage akisoma Hotuba ya Mapato na Matumizi ya Wizara yake kwa Mwaka wa Fedha
2017/18 leo katika kikao cha Ishirini na
Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.














0 Comments