Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini Amri ya
Rais (Presidential Order) kuifuta Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu CDA, tukio
lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kabla ya kusaini Amri ya Rais (Presidential Order) kuifuta Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu CDA,tukio lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Katiba na Sheria akisoma Rasimu ya Amri ya Rais (Presidential Order) kabla ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuisaini ili kuifuta, Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kabla ya kusaini Amri ya Rais (Presidential Order) kuifuta Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu CDA,tukio lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Katiba na Sheria akisoma Rasimu ya Amri ya Rais (Presidential Order) kabla ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuisaini ili kuifuta, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kusaini Amri ya
Rais (Presidential Order) kuifuta
Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu CDA, tukio lililofanyika Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasilikiza
viongozi mbalimbali waliokuwa wakichangia mara baada ya kusaini Amri ya Rais
(Presidential Order) kuifuta Mamlaka ya
Ustawishaji Makao Makuu CDA,tukio lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
viongozi mbalimbali wa Serikali akiwemo Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan,
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Ardhi William Lukuvi, Waziri wa Katiba
na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John
Kijazi kuhusu uamuzi wake wa kuifuta
Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu CDA,tukio lililofanyika Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Viongozi
mbalimbali wa Serikali akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana
wakifatilia kwa makini Hotuba ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya
kutia saini Amri ya Rais (Presidential Order) kuifuta Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu CDADodoma
,tukio lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Ardhi
William Lukuvi wakifatilia kwa makini wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akizungumza mara baada ya kuifuta
Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu CDA,tukio lililofanyika Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akizungumza katika kikao
hicho.
Makamu
wa Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza katika kikao hicho.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha
ya pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi, Waziri wa Ardhi William
Lukuvi, Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi, Naibu Waziri
Ofisi ya Waziri mkuu, Kazi, Vijana na Ajira Anthony Mavunde pamoja na
Mwenyekiti wa CCM mkoani Dodoma Adam Kimbisa mara baada ya kuifuta Mamlaka ya
Ustawishaji Makao Makuu CDA,tukio lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa CDA Eng. Paskasi Muragili mara baada ya kuifuta
mamlaka hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU












0 Comments