Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayemaliza muda wake
na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimkaribisha Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda kukalia kiti cha
Uenyekiti alipomkabidhi wadhifa huo leo wakati wa Mkutano wa 18 wa
Kawaida wa wakuu wa nchi za Jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa
Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2017

0 Comments