Rais wa Uganda Mh. Yoweri Museveni akilakiwa na Waziri wa
NIshati na Madini Profesa Sospeter Muhongo wakati alipowasili kwenye
uwanja wa Ndege wa Mwalimu J. K. Nyerere tayari kwa kuhudhuria mkutano
wa 18 wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)unaofanyika
leo tarehe 20/ 5/ 2017 Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Uganda Mh. Yoweri Museveni akisalimiana na Waziri wa
Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo wakati alipowasili kwenye
uwanja wa Ndege wa Mwalimu J. K. Nyerere tayari kwa kuhudhuria mkutano
wa 18 wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)unaofanyika
leo tarehe 20/ 5/ 2017 Ikulu jijini Dar es salaam

0 Comments