Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo
Tanzania (TADB), Bw. Francis Assenga (wapili kushoto) akibadilishana
hati za makubaliano na Mkuu wa Chuo cha Kilimo cha Chuo Kikuu cha Kilimo
(SUA), Prof. Susan Nchimbi-Msolla. Wanaoshuhudia ni Mkuu wa Sheria na
Huduma wa TADB, Bibi Neema-Christina John (Kushotot) na Naibu Mkuu wa
Chuo cha Kilimo cha Chuo Kikuu cha Kilimo (SUA), Prof. Benard Chove
(kulia). Makubaliano hayo yalisainiwa katika Ofisi za TADB, Dar es
Salaam.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo
Tanzania (TADB), Bw. Francis Assenga (wapili kushoto) and Mkuu wa Chuo
cha Kilimo cha Chuo Kikuu cha Kilimo (SUA), Prof. Susan Nchimbi-Msolla
wakionesha hati za makubaliano. Makubaliano hayo yanalenga uendelezaji
wa masuala ya utafiti na kujengea uwezo wa kitaasisi baina ya pande hizo
mbili. Wanaoshuhudia ni Mkuu wa Sheria na Huduma wa TADB, Bibi
Neema-Christina John (Kushoto) na Naibu Mkuu wa Chuo cha Kilimo cha Chuo
Kikuu cha Kilimo (SUA), Prof. Benard Chove (kulia).
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo
Tanzania (TADB), Bw. Francis Assenga (katikati) akiongoza kikao cha
majadiliano juu ya ushirikiano na Chuo cha Kilimo cha Chuo Kikuu cha
Kilimo (SUA) wakati uongozi wa Chuo hicho walipotembelea Ofisi za TADB.
Msafara wa huo wa Chuo cha Kilimo uliongozwa na Mkuu wa Chuo hicho,
Prof. Susan Nchimbi-Msolla (wapili kulia) na msaidizi wake Prof. Benard
Chove (kulia). Wengine pichani ni wajumbe wa menejimenti ya TADB.



0 Comments