Wanafunzi zaidi ya 20 wanahofiwa kupoteza maisha katika ajali ya basi iliyotokea wilayani Karatu leo asubuhi.
Basi hilo limeanguka kabla ya kuingia karatu mjini na kuua watoto wengi .
Wanafunzi hao ni wa shule inayoitwa Lucky Vicent ya Arusha ambao
walikua wanaenda karatu kufanya mitihani ya mashindano na shule za
karatu.




0 Comments