Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikabidhi Fomu zake za Ununuzi wa Hisa za
Vodacom kwa Dalali wa Hisa Bwana Garase Mugisha ,5/5/2017 ,Wanao
shudia katikati kushoto ni Waziri wa Fedha na Mipango Bwana Philp Mpango
na Katibu Mtendeaji wa Baraza la Uwezeshaji Bibi Beng'I Issa na kulia
kwa Waziri Mkuu ni Mkurugenzi mkuu wa Vodacom , Shughuli hiyo imefanyika
Ofini kw Waziri Mkuu Magogoni Dar es salaam.
Waziri Mkuu Kassim Mjaliwa akiongea na Viongozi wa Serekali ,,wandishi
wa Habari pamoja viongozi wa Vodacom ,Kuhusu uhamasishaji wa Ununuzi wa
Hisa.


0 Comments