Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison
Mwakyembe (katikati) akiongea na wadau wa michezo wakati wa uwekaji
saini wa msaada wa fedha wa Shillingi Bilioni 2.1 baina ya Shirikisho la
Mpira wa Miguu Nchini (TFF) na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), kulia
ni Rais wa TFF Jamal Malinzi na Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa SBL
Bibi. Helene Weesie.
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) Jamal Malinzi (kulia)
akizungumza wakati wa mkutano wa kuweka saina msaada wa fedha kiasi cha
Shillingi Bilioni 2.1 zilizotolewa na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL)
kuisadia timu ya Taifa Stars,katikati ni Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe na kushoto ni Mkurugenzi
Mtendaji wa SBL Bibi. Helene Weesie.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison
Mwakyembe (katikati) akimshuhudia Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu
(TFF) Jamal malinzi (kulia) akiweka saini hati ya makabidhiano ya ya
pesa Shillingi Bilion 2.1 zilizotolewa na Kampuni ya Bia ya Serengeti
(SBL) kwa ajili ya kuisaidia timu ya Taifa Stars leo Jijini Dar es
Salaam, kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa SBL Bibi. Helene Weesie.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison
Mwakyembe (katikati) akishudia Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu
(TFF) Jamal Malinzi (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya
Serengeti (SBL) Bibi. Helen Weesie (kushoto) wakibadilishana hati baada
ya kuweka saini leo Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) Jamal Malinzi(wa pili
kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL)
Bibi. Helen (wa kwanza kulia) Weesie wakipeana mkono baada ya kukabidhi
hundi ya Shillingi Bilioni 2.1 kusaidia timu ya Taifa Stars ,wa pili
kulia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison
Mwakyembe na wa Kwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo
Bw.Yussuph Singo.
Picha na Lorietha Laurence-WHUSM.





0 Comments