Mwenyekitiwa Bunge la
JamhuriyaMuunganowa Tanzania Mhe. Najma Giga akiongozakikao cha 37 cha
Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Mei 30, 2017.
Naibu Waziri wa Maji na
Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali
ya wabunge katika kikao cha 37 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Mei 30, 2017.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya
Muungano ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Mbunge wa
Kaliua(CUF) Mhe.Magdalena Sakaya katika kikao cha 37 cha Mkutano wa Saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 30, 2017.
Waziri wa Elimu,Sayansi na
Teknolojia Mhe,Prof.Joyce Ndalichako akijibu maswali mbalimbali ya wabunge
katika kikao cha 37 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 30,
2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya
Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe.Angelina Kairuki akijibu maswali mbalimbali
ya wabunge katika kikao cha 37 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Mei 30, 2017.
Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo
ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Khamis Kigwangalla akijibu maswali
mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 37 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11
leo Mjini Dodoma Mei 30, 2017.
Naibu Waziri wa Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Dk.Susan Kolimba akijibu maswali
mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 37 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11
leo Mjini Dodoma Mei 30, 2017.
Waziri wa Viwanda, Biashara
na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika
kikao cha 37 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 30, 2017.
Waziri wa Fedha na Mipango
Mhe.Dk.Philip Mpango akisoma Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya
Wizara ya Fedha na Mipango kwa mwaka wa Fedha 2017/2018 katika kikao cha
37 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 30,
2017.
Mbunge wa Viti Maalum (CCM)
Mhe.Faida Bakar akiuliza swali katika kikao cha 37 cha Mkutano wa Saba wa Bunge
la 11 leo Mjini Dodoma Mei 30, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum (CCM)
Mhe.Amina Mollel akiuliza swali katika kikao cha 37 cha Mkutano wa Saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 30, 2017.
Waziri wa Habari,Utamaduni
,Sanaa na Michezo Mhe.Dk.Harrison Mwakyembe akizungumza jambo na Naibu
wake Mhe.Anastazia Wambura katika kikao cha 37 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la
11 leo Mjini Dodoma Mei 30, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu Sera,Bunge,Ajira,Kazi,Vijana na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista
Mhagama akijadili jambo na Mbunge wa Iringa Mjini(CHADEMA) Mhe.Peter
Msigwa katika kikao cha 37 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Mei 30, 2017.
Mwanasheria Mkuu
wa Serikali Mhe.George Masaju akifafanua jambo katika kikao cha 35 cha
Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.Kushoto kwake ni
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Ajira,Kazi,Vijana na Watu
wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama na Kulia ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini
Mhe.Dk.Medard Kalemani.
Picha zote na Daudi Manongi,MAELEZO,DODOMA.














0 Comments