Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akisalimiana
na Mchungaji Anthony Lusekelo (kulia) alipomtembelea leo katika ukumbi wa Spika
Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati)
akipiga picha ya pamoja na ugeni kutoka Kanisa la Maombezi (GRC) ukiongozwa na
Mchungaji Anthony Lusekelo (wa tatu kulia) baada ya kikao kilichofanyika leo
katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (wa pili kulia) akimsikiliza Mchungaji Anthony Lusekelo (kulia) kutoka Kanisa la Maombezi (GRC) pale alipomtembelea leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (wa pili kushoto)akimsikiliza
Mbunge wa Viti Maalum, Mheshimiwa Anna Lupembe (aliesimama)akizungumza jambo
pale ugeni kutoka kanisa la Maombezi (GRC)ukiongozwa na Mchungaji, Anthony
Lusekelo (wa pili kulia)ulipomtembelea leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.
(PICHA
NA OFISI YA BUNGE)



0 Comments