Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Najma Giga akiongoza kikao
cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017.
Naibu Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais –TAMISEMI Mhe.Selemani
Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017.
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza
jambo na Waziri wa mabo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba katika kikao cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017.
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza
jambo Mbunge wa Arusha Mjini Mhe.Godbless Lema katika kikao cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017.
Mbunge wa
Mwibara (CCM) Mhe.Kangi Lugora akiuliza swali katika kikao cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017.
Mbunge wa
Madaba Mhe.Joseph Mhagama akiuliza swali katika
kikao cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Mei 9, 2017
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Isack
Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017.
Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba
akijibu hoja Mbalimbali za Wabunge katika kikao
cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017.
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Jumanne
Maghembe akizungumza na Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe.Joshua Nassari katika kikao cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Maria Kangoye akiuliza
swali katika kikao cha Ishirini cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017.
Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mhe.Dk Charles
Tizeba akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha Ishirini cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017.
Mbunge wa Segerea Mhe.Bonnah Kaluwa akiuliza swali katika kikao cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017.
Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano
Mhe.Edwin Ngonyani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 9, 2017.
Picha Zote na
Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA

0 Comments