Meneja
Mauzo Samsung Lailatu Jethwa (kulia) akiongea na waandishi wa habari kuhusiana
na kampeni yao mpya ya Nunua sajili na Ushinde inayolenga kutokomeza bidhaa
feki nchini katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jijini Dar es
Salaam. Katikati ni, Meneja wa Samsung Nchini Bw Rayton Kwembe,.
Meneja
wa Samsung Nchini Bw Rayton Kwembe (kulia) akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na kampeni
yao mpya ya ‘Nunua sajili na Ushinde’ inayolenga kutokomeza bidhaa feki nchini
katika mkutano huo uliofanyika jijini
Dar es Salaam.
Meneja
Mauzo Samsung (Kushoto),Lailatu Jethwa akiwaonyesha waandishi wa habari
(hawapo pichani) stika mbili zinazolenga kutokomeza bidhaa feki nchini katika
mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jijini Dar es Salaam. kulia ni,
Meneja wa Samsung Nchini,Rayton Kwembe.



0 Comments