Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya
Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Sihaba Nkinga akifafanua jambo kwa Mkuu wa
Wilaya ya Misungwi Mhe. Juma Samwel Sweda ( wa pili kulia) wakati alipomtembelea
Ofisini kwake hivi karibuni.
Mkuu
wa Wilaya ya Misungwi Mhe. Juma Samwel Sweda akizungumza na Katibu Mkuu Wizara
ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Sihaba Nkinga(kulia)
alipomtembelea Ofisini kwake hivi karibuni.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya
Misungwi Bw.Elliurd Mwaitekele(kushoto) akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii
, Jinsia, Wazee na Watoto(Maendeleo yaJamii) Bi. Sihaba Nkinga(hayupo Pichani) wakati
Katibu Mkuu huyo alipotembelea Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Misungwi hivi karibuni
kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu kutoka Wizara ya Afya
Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na
Watoto Bi Deodata Makani na Kaimu Mkurugenzi wa Manunuzi kutoka Wizara hiyo Bi.
Martha Chuma.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya
Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo
yaJamii) Bi. Sihaba Nkinga(kushoto) akimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Misungwi
Mhe.Juma Samwel Sweda(kulia) wakati wakijadiliana jambo mara baada ya Katibu
Mkuu huyo kutembelea Ofisi ya Mkuu wa Wilaya huyo hivi karibuni.
Picha zote na Raymond Mushumbusi MAELEZO Misungwi
Mwanza.





0 Comments