Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya
Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto(Maendeleo ya Jamii) Bi.Sihaba Nkingaakitia saini katika kitabu
cha wageni mara baada ya kuwasili katika Chuo cha Maendeleo ya Jamii Misungwi
alipofanya ziara ya kikazi hivi karibuni.
Katibu
Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto(Maendeleo ya
Jamii) Bi. Sihaba Nkinga akizungumza na
Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Misungwi Mhandisi Harold Jackson Mtyana alipofanya
ziara ya kikazi hivi karibuni.
Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Misungwi
Mhandisi Harold Jackson Mtyana (kulia) akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii
, Jinsia, Wazee na Watoto(Maendeleo yaJamii Bi.Sihaba Nkinga(kushoto) wakati Katibu Mkuu
huyo alipotembelea katika Chuo cha Maendeleo ya Jamii Misungwi kwa ziara ya kikazi hivi karibuni.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya
Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto(Maendeleo yaJamii) Bi.Sihaba Nkinga( wa pili kulia) akiongozana
na watendaji kutoka Wizarani pamoja na
viongozi wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Misungwi alipotembelea katika
Chuo hicho kwa ziara ya kikazi hivi
karibuni.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya
Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo
yaJamii) Bi. Sihaba Nkinga(wa tatu kulia) akimsikiliza Mkuu wa Chuo cha Maendeleo
ya Jamii Misungwi Mhandisi Harold Jackson Mtyana (kulia) alipokuwa akimuelezea
kuhusu Chumba cha Kompyuta cha Chuo hicho wakati wa ziara yake ya kikazi hivi
karibuni.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya
Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo
yaJamii) Bi. Sihaba Nkinga akitumia moja ya Kompyuta zilizopo katika Chumba cha
Kompyuta cha Chuo cha Maendeleo ya Jamii Misungwi ikiwa ni mradi uliowezeshwa
kwa ushirikiano wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya
Korea ya Kusini.
Muonekano Chumba cha Kompyuta cha Chuo cha Maendeleo
ya Jamii Misungwi ikiwa ni mradi uliowezeshwa kwa ushirikiano wa Serikali ya
Jamhuri ya Muungano wa Tanznia na Serikali ya Korea ya Kusini.
Picha zote na Raymond Mushumbusi MAELEZO Misungwi
Mwanza.








0 Comments