Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya
Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga akisalimiana
na baadhi ya watumishi wa Makazi ya kulea wazee ya Bukumbi alipotembelea
kituoni hapo hivi karibuni.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya
Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga akitia saini katika kitabu
cha wageni mara baada ya kuwasili Makazi ya kulea wazee ya Bukumbi hivi
karibuni.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya
Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo yaJamii) Bi. Sihaba Nkinga(kulia) akizungumza na
watumishi wa Kituo cha Makazi ya kulea wazee ya Bukumbi yaliyopo Misungwi Mkoani Mwanza wakati Katibu
Mkuu huyo alipotembelea katika makazi hayo hivi karibuni.
Baadhi ya watumishi wa Kituo cha Makazi ya
kulea wazee ya Bukumbi yaliyopo Misungwi
Mkoani Mwanza wakimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii ,
Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo yaJamii) Bi. Sihaba Nkinga (hayupo pichani) wakati akizungumza
nao wakati alipotembelea katika makazi hayo hivi karibuni.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo yaJamii) Bi.Sihaba Nkinga(kushoto) akifurahi jambo na Mwenyekiti wa wazee waishio katika Makazi ya kulea wazee ya Bukumbi yaliyopo Misungwi Mkoani Mwanza Bibi. Hellena Emmanuel walipokuwa wakijadiliana jambo wakati Katibu Mkuu huyo alipotembelea katika makazi hayo hivi karibuni.
Baadhi ya maeneo ya kituo cha Makazi ya kulea
wazee cha Bukumbi yaliyopo Misungwi Mkoani Mwanza.
Picha zote na Raymond Mushumbusi MAELEZO Misungwi
Mwanza.










0 Comments