Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais -
Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (wa kwanza kulia), akifuatilia
taarifa ya utekelezaji ya Mkoa wa Shinyanga iliyokuwa ikiwasilishwa na Katibu
Tawala Msaidizi Rasilimaliwatu wa Mkoa wa Shinyanga, Bw. Alfred Shayo
(aliyesimama) ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2017.
Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Sera, Ofisi ya Rais-Utumishi, Bw. Mathias
Kabunduguru.
Sehemu ya Watendaji na Watumishi
wa Mkoa wa Shinyanga wakimsikiliza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya
Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza
nao wakati wa kikao kazi na watumishi hao ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya
Wiki ya Utumishi wa Umma 2017.
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais -
Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akisisitiza jambo kwa Watendaji
na watumishi wa Mkoa wa Shinyanga wakati wa kikao kazi na watumishi hao ikiwa
ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2017. Kushoto kwake ni Katibu
Tawala wa Mkoa wa Shinyanga, Bw. Albert Msovela na kulia ni Mkurugenzi wa Sera,
Ofisi ya Rais-Utumishi, Bw. Mathias Kabunduguru.
Katibu Msaidizi Tume ya
Utumishi wa Walimu Wilaya ya Kahama, Bw. Bashemela Seif, akitoa maoni wakati wa kikao kazi cha Watendaji na Watumishi wa
Sekretarieti ya Mkoa wa Shinyanga na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti
ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (hayupo pichani) ikiwa ni sehemu ya
Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2017.
Mkurugenzi Halmashauri ya
Wilaya ya Kishapu, Bw. Stephen Magoiga, akiwasilisha hoja wakati wa kikao kazi
cha Watendaji na Watumishi wa Sekretarieti ya Mkoa wa Shinyanga na Katibu Mkuu,
Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (hayupo
pichani) ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2017.
Afisa Tawala Mwandamizi
kutoka Ofisi ya Rais – Utumishi, Bw. Leonard Tumua, akifafanua jambo kwa Watendaji
na watumishi wa Mkoa wa Shinyanga wakati wa kikao kazi na watumishi hao ikiwa
ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2017. Wa kwanza Kushoto
kwake ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Utumishi, Dkt. Laurean Ndumbaro na katikati
ni Mkurugenzi wa Sera, Ofisi ya Rais-Utumishi, Bw. Mathias Kabunduguru.
Mkurugenzi wa Sera, Ofisi ya
Rais-Utumishi, Bw. Mathias Kabunduguru. akifafanua jambo kwa Watendaji na
watumishi wa Mkoa wa Shinyanga wakati wa kikao kazi na watumishi hao ikiwa ni
sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2017. Kushoto kwake ni Katibu
Mkuu, Ofisi ya Rais-Utumishi, Dkt. Laurean Ndumbaro na Katibu Tawala Mkoa wa
Shinyanga, Bw. Albert Msovela.







0 Comments