Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais -
Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (wa pili kulia),
akifafanua jambo kwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida, Dkt. Angelina Lutambi (kushoto)
baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji ya Mkoa wa Singida kutoka kwa Katibu
Tawala huyo ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2017.
Baadhi ya Watumishi wa Mkoa
wa Singida wakimsikiliza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi
wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao wakati
wa kikao kazi na watumishi hao ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya
Utumishi wa Umma 2017.
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais -
Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akiongea na watumishi wa
Mkoa wa Singida wakati wa kikao kazi na watumishi hao ikiwa ni sehemu ya
Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2017. Kulia kwake ni Katibu Tawala wa
Mkoa wa Singida, Dkt. Angelina Lutambi.
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais -
Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akipokea maoni na
malalamiko yaliyokuwa yakitolewa na baadhi ya watumishi wa Mkoa wa Singida
wakati wa kikao kazi na watumishi hao mkoani Singida ikiwa ni sehemu ya
Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2017. Kulia kwake ni Katibu Tawala wa
Mkoa wa Singida, Dkt. Angelina Lutambi.
Mmoja wa watumishi kutoka
Ofisi ya Katibu Tawala Mkoa wa Singida akitoa maoni wakati wa kikao kazi na Katibu
Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro
(hayupo pichani) ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma
2017.
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais -
Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akifafanua jambo kwa
mmoja wa watumishi kutoka Ofisi ya Katibu Tawala Mkoa wa Singida alipokuwa
akisikiliza malalamiko ya mtumishi huyo ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki
ya Utumishi wa Umma 2017.
Afisa TEHAMA Mwandamizi
kutoka Ofisi ya Rais - Menejementi ya Utumishi wa Umma, Bi, Jeanfrida
Mushumbusi akihakiki taarifa za mmoja wa watumishi kutoka mkoa wa Singida ikiwa
ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2017.







0 Comments