Naibu Waziri Wizara ya Afya,Maendeleo ya
Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Dk Khamis Kigwangalla, Katibu Mkuu Wizara ya
Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto(Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii
Bi Sihaba Nkinga na Mwenyekiti wa Baraza la Watoto Joel Kiyunga wakionyesha
Ripoti ya Watoto baada ya kuzinduliwa leo Mjini Dodoma.
Naibu Waziri Wizara ya Afya,Maendeleo ya
Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Dk Khamis Kigwangalla akionyesha Ripoti ya
Watoto baada ya kuizindua leo Mjini Dodoma.Kulia kwake ni Katibu Mkuu Wizara ya
Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto(Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii
Bi Sihaba Nkinga na Kushoto kwake ni Mwenyekiti Baraza la Watoto Joel Kiyungu.
Mkurugenzi
wa Watoto Bi Margareth Mussai akiwa na wabunge wa Viti Maalum Bi Fatma Taufiq,
Kiteto Koshuma na Bi.Suzan Lyimo katika kongamano la Watoto,Wazazi/Walezi na
Wadau katika kuadhimisha siku ya Mtoto wa Afrika iliyofanyika Mkoani Dodoma.
Naibu Waziri Wizara ya Afya,Maendeleo ya
Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Dk Khamis Kigwangalla akiwa katika picha ya
pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya
Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto(Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii
Bi Sihaba,Mwakilishi mkazi wa UNICEF Nchini
Bi Maniza Zaman na Mkurugenzi wa Watoto Bi
Margareth Mussai katika kongamano la Watoto,Wazazi/Walezi na Wadau katika
kuadhimisha siku ya Mtoto wa Afrika iliyofanyika Mkoani Dodoma.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya
Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto(Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii Bi Sihaba Nkinga
akisoma kipeperushi katika banda la UNICEF katika kongamano la Watoto,Wazazi/Walezi na
Wadau katika kuadhimisha siku ya Mtoto wa Afrika iliyofanyika Mkoani Dodoma.
Naibu Waziri Wizara ya Afya,Maendeleo ya
Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Dk Khamis Kigwangalla akipata maelezo baada ya
kutembelea banda la Plan Internaltional katika kongamano la
Watoto,Wazazi/Walezi na Wadau katika kuadhimisha siku ya Mtoto wa Afrika
iliyofanyika Mkoani Dodoma.
![]() |
| Naibu Waziri Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Dk Khamis Kigwangalla akipata maelezo baada ya kutembelea banda la Plan Internaltional katika kongamano la Watoto,Wazazi/Walezi na Wadau katika kuadhimisha siku ya Mtoto wa Afrika iliyofanyika Mkoani Dodoma. |
Picha Zote na
Daudi Manongi,MAELEZO,DODOMA.

0 Comments