MWAKILISHI WA JIMBO LA TUNGUU AKABIDHI MIPIRA YA MAJI KWA WANANCHI WA KIJIJI CHA MWERA KIONGONI - MTAZAMO MEDIA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Sunday, 11 June 2017

demo-image

MWAKILISHI WA JIMBO LA TUNGUU AKABIDHI MIPIRA YA MAJI KWA WANANCHI WA KIJIJI CHA MWERA KIONGONI

Responsive Ads Here
DSC_0885
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe Simai Mohammed Said akimkabidhi mipira ya maji Mmoja wa Wazee wa Kijiji cha Mwera Kiongoni kwa ajili ya kuunganisha maji kupata huduma hiyo katika kijiji chao. Mipira hiyo jumla ya roli sita zimetolewa na Mbunge na Mwakilishi wa jimbo hilo la Tunguu Zanzibar.
DSC_0895
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Mhe. Simai Mohammed Said akiwa na wananchi wa Kijiji cha Mwera Kiongoni sehemu ya Jimbo lake wakiitikia dua baada ya kukabidhi mipira ya maji kwa ajili ya kijiji hicho kuweza kupata huduma hiyo. kwa wakazi wake.
DSC_0863
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Mhe. Simai Mohammed Said akisikiliza matatizo ya Wananchi wa Jimbo lake katika Kijiji cha Mwera Kiongoni Wilaya ya Kati Unguja akiwa na wananchi hao akipata changamoto zinazowakabili. baada ya kukabidhi mipira ya maji iliotolewa na Mwakilishi na Mbunge kwa Wananchi wa kijiji hicho kuunga maji.
DSC_0881
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe Simai Mohammed Said akizungumza na Wananchi wa jimbo lake katika Kijiji cha Mwera Kiongoni Wilaya ya Kati Unguja alipofika kukabidhi mipira ya maji roli sita ili kuweza kupata huduma ya maji safi na salama.
DSC_0867
Mwenyekiti wa Tawi la CCM Mwera Kiongoni akizungumza wakati wa hafla hiyo ya kukabidhiwa mipira ya maji kwa ajili yao kupata huduma hiyo.
DSC_0873
Diwani wa Wadi ya Ubago akizungumza wakati wa hafla hiyo.
DSC_0861
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe Simai Mohammed Said akimsikiliza Diwani wa Wadi ya Ubago akitowa maelezo ya upatikanaji wa maji hayo kwa wananchi wa kijiji cha mwera kiongoni. wanancc chi wa kijiji hicho walikuwa wakipata shida ya huduma hiyo muhimu kwa jamii.
Imetayarishwa na OthmanMapara.Blog.
Zanzinews.com.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *