Promota
wa mchezo wa masumbwi nchini Dotto Texas katikati akiwainua mikono juu
mabondia Jakobo Maganga kutoka Tanga kushoto na Abdalla Pazi 'Dulla
Mbabe' wakati wa kutambulisha mpambano wao utakaofanyika julai 15 jijini
Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS
Na Mwandishi Wetu
MABONDIA
Abdallah Pazi 'Dulla Mbabe' wa Dar na Jakobo Maganga wa Tanga wamesaini
kuzipiga julai 15 katika jiji la Dar es salaam Tanzania
akizungumza
baada ya kuwasainisha mabondia hawo Promota Dotto Texas amesema kuwa
ana ongea na mabondia watakaocheza utangulizi siku hiyo kwa kuwa mchezo
uho utakuwa wa kujua nanio zaidi katika uzito wa KG 76
hivyo wapenzi na mashabiki wakae mkao wa kula kwani mpambano huu ni wa kujua nani ni nani katika mchezo wa masumbwi nchini
haidha
promota huyo alieleza kuwa punde watawatangazia mashabiki kuwa
wachezaji wengine walio ingia mikataba kwa ajili ya kucheza siku hiyo ni
nani na nani ila nina wahakikishia mapambano yote yatakuwa bora zaidi
kwani ngumi kwa sasa zina ushabiki mkubwa sana
nae
bondia Maganga kutota tanga alieleza kuwa ameanza mazoezi kwa ajili ya
mpambano uho kwani Pazi ni mtoto mdogo katika masumbwi na bado ajakomaa
katika ngumi hivyo asitarajie ushindi kabisa hapa ni kipigo tu
akijibu
mapigo Pazi alisema kwake yeye ngumi sio taarabu kwani mikono ndio
inayofanya kazi ivyo ameomba mashabiki kuja kwa wingi na promota
ataalishe machela kabisa siku ya mpambano
|
Katika
mpambano huo siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo
wa ngumi kali pamoja na kutambua sheria zake zikiwa na mabondia wakali
kama vile
No comments:
Post a Comment