Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifungua kikao
cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa
Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini
Dar es salaam leo Juni 2, 2017
Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Simon Sirro akitoa muhtasari
wakati wa ufunguzi wa kikao cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na
Makamanda wa Polisi wa Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa
polisi la Oysterbay jijini Dar es salaam leo Juni 2, 2017
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mwigulu Nchemba
akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli kufungua kikao
cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa
Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini
Dar es salaam leo Juni 2, 2017
Kamishna wa Jeshi la Polisi Visiwani Zanzibar Afande Hamdan Omar
makame akitoa shukurani kwa niaba ya wote kwa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli baada ya kufungua kikao
cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa
Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini
Dar es salaam leo Juni 2, 2017.
Kamishna wa Jeshi la Polisi Visiwani Zanzibar Afande Hamdan Omar
makame akipeana mikono na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli baada ya kumshukuru kwa niaba ya wote kwa kufungua kikao
cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa
Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini
Dar es salaam leo Juni 2, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na meza kuu
akipata picha ya pamoja na Makamishna wa Jeshi la Polisi baada ya
kufungua kikao cha
Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa Mikoa na
Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini Dar es
salaam leo Juni 2, 2017
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na meza kuu
akipata picha ya pamoja na Makamishna, makamanda wa Wakuu wa Vikosi wa
Jeshi la Polisi baada ya kufungua kikao
cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa
Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini
Dar es salaam leo Juni 2, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
na meza kuu akipata picha ya pamoja na Makamanda wa Polisi wa mikoa
baada ya kufungua kikao
cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa
Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini
Dar es salaam leo Juni 2, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
na meza kuu akipata picha ya pamoja na Makamanda wa Vikosi vya Polisi
baada ya kufungua kikao
cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa
Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini
Dar es salaam leo Juni 2, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga baada ya kufungua kikao
cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa
Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini
Dar es salaam leo Juni 2, 20.
PICHA ZOTE NA IKULU

0 Comments