Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kushiriki katika sala
ya Ijumaa kwenye Msikiti wa Al- Gadaf mjini Dodoma Juni 2, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Sheikh Nurdin Kishik ambaye
ni Mhadhiri wa Kimataifa wa Dini ya Kiislaam, (kulia) na ujumbe wake,
ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Juni 2, 2017.
(Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)



0 Comments