Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John pombe Magufuli
akishuhudiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dkt. Ali Mohamed Shein na Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na
viongozi wengine akizindua Mfumo wa Serikali wa Ukusanyaji Mapato kwa
Njia ya kielektroniki kwenye sherehe zilizofanyika Kijitonyama jijini
Dar es salaam leo June 1, 2017.
Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akionesha Ipad maalumu
itayomuwezesha kufuatilia ukusanyaji wa mapato ya kila siku. Kulia kwake
ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John pombe Magufuli
na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali
Mohamed Shein na viongozi wengine wakati wa kutembelea kituo cha
kutunzia taarifa (Data Centre) kabla ya kuzindua Mfumo wa Serikali wa
Ukusanyaji Mapato kwa Njia ya kielektroniki kwenye sherehe
zilizofanyika Kijitonyama jijini Dar es salaam leo June 1, 2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali
Mohamed Shein akionesha Ipad maalumu aliyopewa kumuwezesha kufuatilia
ukusanyaji wa mapato ya kila siku. kushoto kwake ni Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John pombe Magufuli na Makamu wa Rais Mhe
Samia Suluhu Hassan na viongozi wengine wakati wa kutembelea kituo cha
kutunzia taarifa (Data Centre) kabla ya kuzindua Mfumo wa Serikali wa
Ukusanyaji Mapato kwa Njia ya kielektroniki kwenye sherehe
zilizofanyika Kijitonyama jijini Dar es salaam leo June 1, 2017. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John pombe Magufuli akihutubia baada ya wakati wa kutembelea Kituo cha Kutunzia Taarifa (Data centre) na na kuzindua Mfumo wa Ukusanyaji Mapato wa Serikali kwa Njia ya kielektronini kwenye sherehe zilizofanyika Kijitonyama jijini Dar es salaam leo June 1, 2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein akihutubia katika Kituo cha Kutunzia Taarifa (Data centre) wakati wa kuzindua Mfumo wa Ukusanyaji Mapato wa Serikali kwa Njia ya kielektronini kwenye sherehe zilizofanyika Kijitonyama jijini Dar es salaam leo June 1, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein na Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na viongozi wengine akitoka kutembelea kituo cha kutunzia taarifa (Data Centre) kabla ya kuzindua Mfumo wa Serikali wa Ukusanyaji Mapato kwa Njia ya kielektroniki kwenye sherehe zilizofanyika Kijitonyama jijini Dar es salaam leo June 1, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John pombe Magufuli akisalimiana na Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa shirika la simu Tanzania TTCL Bw. Waziri Kindamba wakati wa kutembelea Kituo cha Kutunzia Taarifa (Data centre) na kuzindua Mfumo wa Ukusanyaji Mapato wa Serikali kwa Njia ya kielektronini kwenye sherehe zilizofanyika Kijitonyama jijini Dar es salaam leo June 1, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John pombe
Magufuli akisalimiana na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya mapato Tanzania
(TRA) Bw. Joseph Kichere wakati wa kutembelea Kituo cha Kutunzia Taarifa
(Data centre) na kuzindua Mfumo wa Ukusanyaji Mapato wa Serikali kwa
Njia ya kielektronini kwenye sherehe zilizofanyika Kijitonyama jijini
Dar es salaam leo June 1, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John pombe Magufuli
akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali
Mohamed Shein na Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na viongozi
katika picha ya pamoja na wakuu wa makampuni ya mawasiliano mbalimbali
nchini kwenye sherehe ya uzinduzi wa Mfumo wa Serikali wa Ukusanyaji
Mapato kwa Njia ya kielektroniki kwenye sherehe zilizofanyika
Kijitonyama jijini Dar es salaam leo June 1, 2017. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John pombe Magufuli akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein na Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na viongozi katika picha ya pamoja na wakuu wa Mabenki mbalimbali nchini sherehe ya uzinduzi wa Mfumo wa Serikali wa Ukusanyaji Mapato kwa Njia ya kielektroniki kwenye sherehe zilizofanyika Kijitonyama jijini Dar es salaam leo June 1, 2017.
Picha na Ikulu












0 Comments