Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 39 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 1, 2017.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe.George Simbachawene katika kikao cha 39 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 1, 2017.
Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Edwin Ngonyani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 39 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 1, 2017.
Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni ,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia Wambura akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 39 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 1, 2017.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage akisoma Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini katika kikao cha 39 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 1, 2017.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi
la Kujenga Taifa Mhe.Hussein Mwinyi akizungumza jambo na Mbunge wa Viti
Maalum(CHADEMA) Mhe.Catherine Ruge katika kikao cha 39 cha Mkutano wa Saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma June 1, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum (CCM)
Mhe.Anna Mollel akiuliza swali katika kikao cha 39 cha Mkutano wa Saba wa Bunge
la 11 leo Mjini Dodoma Juni 1, 2017.Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kantui kutoka Kilosa wakiwa Bungeni kujifunza Shughuli mbalimbali katika kikao cha 39 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 1, 2017.
Wabunge
wakifuatilia hoja mbalimbali katika kikao cha 39 cha Mkutano wa Saba wa Bunge
la 11 leo Mjini Dodoma Juni 1, 2017.
Picha zote na Daudi Manongi,MAELEZO,DODOMA.











0 Comments