Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Maji, Umwagiliaji na Umeme wa
Ethiopia
Dkt. Seleshi Bekele anayaongoza ujumbe kutoka kwa Waziri Mkuu wa nchi
hiyo
iliyopo nchini kusaidia mchakato wa ujenzi wa Dam (bwawa la kuzalisha
umeme) la Steigler’s Gorge Ikulu jijini Dar es salaam .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akizungumza na Waziri wa Maji, Umwagiliaji na Umeme wa Ethiopia Dkt.
Seleshi Bekele na ujumbe kutoka kwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo iliyopo nchini
kusaidia mchakato wa ujenzi wa Dam (bwawa la kuzalisha umeme) la Steigler’s Gorge Ikulu jijini Dar es salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Waziri wa Maji, Umwagiliaji na
Umeme
wa Ethiopia Dkt. Seleshi Bekele na ujumbe kutoka kwa Waziri Mkuu wa nchi
hiyo
iliyopo nchini kusaidia mchakato wa ujenzi wa Dam (bwawa la kuzalisha
umeme) la Steigler’s Gorge pamoja na jopo la wataalamu wa Tanzania
wanaosimamia mradi huo Ikulu jijini Dar es salaam.
PICHA NA IKULU




0 Comments