Spika wa Bunge,
Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akizungumza wakati wa futari aliyoiandaa kwa ajili
ya Wabunge na Watumishi wa Bunge iliyofanyika katika viwanja vya Bunge Mjini
Dodoma, kulia ni Mbunge wa Ilala, Mheshimiwa Mussa Zungu, anaefuata ni Mbunge
wa Bariadi Magharibi Mheshimiwa Andrew Chenge na wa pili kushoto ni Mbunge wa
Mbalali Mheshimiwa Haroon Pirmohamed.
Spika wa Bunge,
Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akizungumza jambo na Waziri wa Elimu, Sayansi
na Teknolojia, Mheshimiwa Joyce Ndalichako (katikati) wakati wa futari
aliyoiandaa kwa ajili ya Wabunge na Watumishi wa Bunge iliyofanyika katika viwanja
vya Bunge Mjini Dodoma, kulia ni Mbunge wa Mbalali Mheshimiwa Haroon
Pirmohamed.
pika wa Bunge,
Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Mbunge wa Mbalali Mheshimiwa Haroon
Pirmohamed (kulia) wakati wa futari aliyoiandaa kwa ajili ya Wabunge na
Watumishi wa Bunge iliyofanyika katika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.





0 Comments