Waziri wa
Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe Dkt. Harrison Mwakyembe na Naibu Waziri
wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia Wambura wakiwa katika picha
ya pamoja na wasanii wa Filamu, Ndg Nice Mtunze na Bi Lydia Mgaya
walipowatembelea Bungeni leo Tarehe 21 Juni 2017.
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo
Mhe Dkt. Harrison Mwakyembe na Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na
Michezo Mhe.Anastazia Wambura wakiwa katika picha ya pamoja waandishi wa habari
wa A Fm Radio walipomtembelea Bungeni leo Tar 21 Juni 2017.


0 Comments