Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia)
akipokea Barua ya kujitambulisha na kuomba msaada wa mchango kwa ajili ya
kufanya Mkutano Mkuu wa Chama cha Askari wastaafu kwa Vita kuu ya pili ya dunia
waliopigana Mwaka 1939 – 1945 kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama hicho ambae ni
Ndg. Bakari Ngonja, katika kikao kilichofanyika leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akutana
na kufanya mazungumzo na Chama cha Askari wastaafu wa Vita kuu ya pili ya dunia
waliopigana Mwaka 1939 -1945 katika kikao kilichofanyika leo Ofisini kwake
Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akisisitiza
jambo pale alipokutana na kufanya mazungumzo na Chama cha Askari wastaafu wa
Vita kuu ya pili ya dunia waliopigana Mwaka 1939 -1945 katika kikao
kilichofanyika leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
(PICHA
NA OFISI YA BUNGE)



0 Comments