Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati)
akiongoza kikao cha kamati ya Uongozi na
kamati ya Bajeti leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. kulia kwake ni Waziri Mkuu,
Mheshimiwa Kassim Majaliwa na Kushoto kwake ni Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas
Kashililah na anaefuata ni Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson
(PICHA
NA OFISI YA BUNGE)


0 Comments