Wachezaji wa timu ya Tusker ya Kenya wakiwasili katika Uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar
es Salaam, tayari kwa ajili ya michuano ya Sportpesa itakayo anza kutimua
vumbi Julay 5 mwaka huu katika uwanja
wa Uhuru
maalufu kama shamba la bibi.Michuano hiyo imedhaminiwa na Kampuni ya
Sport Pesa kwa kuzishirikisha timu
zinazo dhaiminiwa na kampuni hiyo za nchi ya Kenye na Tanzania.






0 Comments