Mwalimu wa Elimu ya Mlipa Kodi kutoka Mamlaka ya
Mapato Tanzania (TRA) Makao Makuu Bw. Gabriel Mwangosi akielezea jambo wakati
wa Mdahalo wa Vijana kuhusu Nguvu ya Kodi, ulioandaliwa na Asasi ya Kiraia ya
Dira ya Vijana Tanzania (TYVA) leo Jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni
Mwenyekiti wa TYVA Taifa Bw. Suleiman Makwita na Muongoza mada Bi. Nuria
Mshare. Kauli mbiu ya mdahalo huo ni “Nguvu ya Kodi” Kodi kwa Huduma Bora za
Jamii.
Mwenyekiti wa Asasi ya Kiraia ya Dira ya Vijana
Tanzania (TYVA) Bw. Suleiman Makwita akifafanua jambo wakati wa mdahalo hukusu
kodi ulioandaliwa na asasi hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni
Muongozaji wa mdahalo huo Bi. Nuria Mshare na Mwalimu wa Elimu ya Kodi kutoka
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Makao Makuu Bw. Gabriel Mwangosi.
Makamu Mwenyekiti wa Asasi ya Kiraia ya Dira ya
Vijana Tanzania (TYVA) Bi. Irene Kalumuna akizungumza na waandishi wa habari
(hawapo pichani) wakati wa mdahalo hukusu kodi ulioandaliwa na asasi hiyo leo
Jijini Dar es Salaam.
Muongozaji wa Mdahalo wa Vijana kuhusu umuhimu
wa kodi uliondaliwa na Asasi ya Kiraia
ya Dira ya Vijana Tanzania (TYVA) Bi. Nuria Mshare akifafanua jambo wakati wa
mdahalo huo leo Jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Mwenyekiti wa TYVA, Bw. Suleiman Makwita na
Mwalimu wa Elimu ya Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Makao Makuu
Bw. Gabriel Mwangosi. Kauli mbiu ya mdahalo huo ni “Nguvu ya Kodi” Kodi kwa
Huduma Bora za Jamii.
Washiriki wa Mdahalo wa Vijana kuhusu umuhimu wa
kodi uliondaliwa na Asasi ya Kiraia ya
Dira ya Vijana Tanzania (TYVA) wakichangia mada wakati wa mdahalo huo
uliofanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Jijini Dar es Salaam leo.
Mdahalo huo umeandaliwa na TYVA kupitia mradi wake wa Ushiriki wa Kijana katika
masuala ya Kodi (YEGA) chini ya udhamini wa Shirika la Action Aid Tanzania.
Baadhi ya washiriki wa Mdahalo wa Vijana kuhusu
umuhimu wa kodi uliondaliwa na Asasi ya
Kiraia ya Dira ya Vijana Tanzania (TYVA) wakifuatilia mada wakati wa mdahalo huo
uliofanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Jijini Dar es Salaam leo.
Mdahalo huo umeandaliwa na TYVA kupitia mradi wake wa Ushiriki wa Kijana katika
masuala ya Kodi (YEGA) chini ya udhamini wa Shirika la Action Aid.







0 Comments