Naibu Waziri Ofisi ya Rais sharia, Utumishi wa Umma na Utawala
bora Zanzibar,Khamis Juma Maalim(kushoto) na Mkuu wa kitengo cha
Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Jacquiline Materu (wapili
kushoto) wakiwakabidhi mbuzi wazee wasiojiweza wa mjini Zanzibar ikiwa
ni moja ya msaada na zawadi zilizotolewa na Vodacom Tanzania Foundation
kwa ajili ya wazee hao pamoja na watoto yatima ili waweze kusherehekea
sikukuu ya Ramadhani kesho kutwa, Mfuko huo wa kusaidia jamii ulitoa
vyakula mbalimbali vya kula kwa wazee hao na watoto waishio katika
mazingira magumu jana.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais sharia, Utumishi wa Umma na Utawala
bora Zanzibar,Khamis Juma Maalim (kushoto) akiwakabidhi mafuta ya kula
watoto waishio katika mazingira magumu wa mjini Zanzibar kwa niaba ya
Vodacom Tanzania Foundation ikiwa ni moja ya zawadi zilizotolewa na
mfuko huo kwa ajili ya watoto hao pamoja na wazee kusherehekea sikuu ya
Ramadhani kesho kutwa, Mfuko huo wa kusaidia jamii ulitoa vyakula
mbalimbali na mbuzi kwa wazee hao na watoto waishio katika mazingira
magumu jana,Anaeshuhudia wapili toka kushoto ni na Mkuu wa kitengo cha
Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Mkuu wa kitengo cha
Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Jacquiline Materu.
Meneja biashara wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom
Tanzania, Grace Lyon akiwagawia mafuta ya kula baadhi ya watoto waishio
katika mazingira magumu wa mjini Zanzibar kwa ajili ya sikukuu ya
Ramadhani itakayofanyika kesho kutwa, Msaada huo ulitolewa na Vodacom
Tanzania Foundation.
Mtoto aishio katika mazingira magumu wa mjini Zanzibar, Bakari
Juma akipokea mafuta ya kula toka kwa mfanyakazi wa Vodacom
Tanzania,Glory Mtui kwa ajili ya sikukuu ya Ramadhani itakayofanyika
kesho kutwa, Mfuko wa kusaidia jamii wa kampuni hiyo”Vodacom Tanzania
Foundation”ulitoa msaada wa vyakula mbalimbali kwa watoto hao na wazee
wanaoshi katika mazingira magumu mjini humo jana.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais sharia, Utumishi wa Umma na Utawala
bora Zanzibar, Khamis Juma Maalim(wapili kushoto) pamoja na Mkuu wa
kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Jacquiline
Materu(kushoto) wakiwakabidhi boksi la tende wazee wasiojiweza wa mjini
Zanzibar ikiwa ni moja ya msaada na zawadi zilizotolewa na Vodacom
Tanzania Foundation kwa ajili ya wazee hao pamoja na watoto yatima ili
waweze kusherehekea sikukuu ya Ramadhani kesho kutwa,Mfuko huo wa
kusaidia jamii ulitoa vyakula mbalimbali na mbuzi kwa wazee hao na
watoto waishio katika mazingira magumu wa mjini humo jana.





0 Comments