Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akifungua Mkutano wa Maafisa Mifugo wa Mikoa na Wilaya kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Juni 15, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Grace Matemu ambaye ni
Meneja wa tawi la Benki ya NMB la Bunge wakati alipokwenda katika tawi
hilomjini Dodoma kupata huduma za kibenki Juni 15, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri wa Kilimo, Mifugo na
Uvuvi, Dkt. Charles Tizeba baada ya kufungua Mkutano wa Maafisa Kilimo
wa Wilaya na Mikoa kwenye ukumbi wa Chuo cha mipango mjini Dodoma Juni
15, 2017. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, George
Simbachawene na Kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi,
William Tate Ole- Nasha.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Waziri wa Kilimo, Mifugo na
Uvuvi, Dkt. Charles Tizeba kitabu cha "Mwongozi wa kitaifa wa Usimamizi
wa Huduma za Mifugo" baada ya kukizindua kwenye Mkutano wa Maafisa
Mifugo wa Wilaya na Mikoa kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini
Dodoma, Juni15, 2017.
(picha na ofisi ya Waziri Mkuu)






0 Comments