Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Uingereza
nchini, Mheshimiwa, Sarah Cooke kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma
Juni 8, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Marekani
nchini, Mheshimiwa Inmi Patterson kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma
Juni 8, 2017.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)




0 Comments