Waziri wa
Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Dk Harrison Mwakyembe akimkabidhi Kamusi
kuu ya Kiswahili Waziri wa Nchi Ofisi ya
Rais-TAMISEMI Mhe.George Simbachawene leo Mjini Dodoma.
Waziri wa
Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Dk.Harrison Mwakyembe akitia saini kitabu
cha wageni baada ya kuwasili katika Ofisi za TAMISEMI mjini Dodoma.Kulia ni
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.George Simbachawene.
Picha zote na Daudi
Manongi,MAELEZO,DODOMA.



0 Comments