Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na wanafunzi wa Shule
Secondary Banyibanyi iliyopo wilaya ya Kongwa Mkoa wa Dodoma, baada ya
kuwapatia vitabu vilivyotolewa na Mtandao wa kuondoa umasikini.
Spikawa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akiwa
katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya sekondari Banyibanyi,
baada ya kuwakabidhi vitabu vilivyotolewa kwa msaada wa Mtandao wa
kuondoa umasikini, tukio lililofanyika leo wilayani Kongwa Mkoa wa
Dodoma.
Spika wa Binge Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akishuhudia Mwenyeti wa
Mtandao wa kuondoa umasikini Ndg.Mungwe Athuman akimkabidhi kitabu
Mwalimu mkuu wa Shule ya sekondari Banyibanyi Mwl.Grace Mbise, Ktk
tukio lililofanyika leo Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma. kulia ni
Meneja wa Mtandao huo Ndg. Peter Yobwa



0 Comments