Mbunge wa Temeke (CUF) Mhe.Abdallah Mtolea katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma June 6, 2017.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 6, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi Ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Ajira na Watu wenye ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akitolea ufafanuzi hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 6, 2017.
Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Khamis Kigwangalla akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 6, 2017.
Waziri wa Habari,Utamaduni ,Sanaa na Michezo Mhe.Harrison Mwakyembe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 6, 2017.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe.Selemani Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 6, 2017
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 6, 2017.
Waziri wa Mambo ya Ndani
Mhe.Mwigulu Nchemba akizungumza jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu
wa Rais Muungano na Mazingira Mhe.January Makamba katika kikao cha
42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 6, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum (CCM)
Mhe.Rose Tweve akiuliza swali katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge
la 11 leo Mjini Dodoma Juni 6, 2017.Mbunge wa Kalambo (CCM) Mhe.Josephat Kandege akiuliza swali katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 6, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe.Jaquiline Ngonyani akiuliza swali katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 6, 2017.
Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Edwin Ngonyani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 6, 2017.
Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba akijibu hoja
mbalimbali za wabunge katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11
leo Mjini Dodoma Juni 6, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe.Jaquiline
Ngonyani akiuliza swali katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11
leo Mjini Dodoma Juni 6, 2017.
Picha zote na Daudi Manongi,MAELEZO,DODOMA.
















0 Comments