Naibu Waziri Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Angeline Mabula akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 41 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 5, 2017.
Naibu Waziri Wizara ya Fedha na Mipango Mhe.Dk Ashatu Kijaji akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 7, 2017.
Naibu Waziri wa Wizara ya Nishati na Madini Dk Medard Kalemani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 7, 2017.
Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Prof Makame Mbarawa akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 7, 2017.
Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde katika kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 7, 2017.
Mbunge wa Kigamboni (CCM) Mhe,Faustine Ndugulile akiuliza swali katika kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 7, 2017.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk Philip Mpango akizungumza jambo na Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Gerson Lwenge katika kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 7, 2017.
Mbunge wa Tarime Mjini (CHADEMA) Mhe.Esther Matiko akiuliza swali katika kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 7, 2017.
Mbunge wa Kasulu Mjini Mhe.Daniel Nsanzugwako akifurahia jambo
na Mbunge wa Madaba Mhe.Joseph Mhagama katika kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba
wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma June 7, 2017.
Picha zote na Daudi Manongi,MAELEZO,DODOMA.











0 Comments