Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe.Azzan Zungu akiongoza kikao
cha hamsini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 23,
2017.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk Ashatu
Kijaji akijibu maswali mbalimbali ya
wabunge katika kikao cha hamsini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo
Mjini Dodoma Juni 23, 2017.
Naibu Waziri wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia
Mhe.Eng Stella Manyanya akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha hamsini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Juni 23, 2017.
Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba akijibu
maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha hamsini na nne cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 23, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
Sera,Bunge,Kazi,Vijana ,Ajira na watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akijadili jambo na Naibu Waziri wa Fedha na
Mipango Mhe.Dk Ashatu Kijaji katika kikao
cha hamsini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 23,
2017.
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Prof Jumanne
Maghembe akiteta jambo na Mbunge wa Viti Maalum Bi Martha Mlata katika kikao
cha hamsini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 22,
2017.
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Mhe.William Lukuvi wakifuatilia jambo na
Mbunge wa Nkasi kaskazini Mhe.Ally Kessy katika kikao cha hamsini na nne cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 23, 2017.
Naibu Waziri
Wizara ya Maji na Umwagiliaji Mhe.Isack Kamwelwe akimskiliza Mbunge wa Kasulu Mjini Mhe.Daniel
Nsanzugwako katika kikao cha hamsini na
nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11
leo Mjini Dodoma Juni 23, 2017.
Picha Zote na
Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA








0 Comments