Mtaalamu
kutoka Timu ya Everton Bw. Shane Mcgeown (kushoto) akitoa maelekezo ya
matumizi ya mashine ya kushindilia na
kutoa uchafu kwa ajili ya kusafishia uwanja
kwa uongozi na maafisa wa Idara ya Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya
Habari Utamaduni Sanaa na Michezo leo
Jijini Dar es Salaam katika Uwanja wa Taifa.
Mtaalamu
kutoka Timu ya Everton Bw. Shane Mcgeown (kulia) akionyesha mashine ya kukatia majani na kusafishia
uwanja kwa uongozi na maafisa wa Idara
ya Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo leo Jijini Dar es Salaam katika Uwanja wa
Taifa.
Mtaalamu
kutoka Timu ya Everton Bw. Shane Mcgeown (Mwenye kofia) akionyesha mashine ya kubebea uchafu katika ziara ya kukagua vifaa vinavyoyumika
katika ukarabati wa uwanja kwa uongozi
na maafisa wa Idara ya Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo leo Jijini Dar es Salaam
katika Uwanja wa Taifa .
Mkurungezi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo ya
Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bw.Yussuph Singo (kulia) akimpa
mkono wa shukrani Mtaalamu wa Uwanja kutoka Timu ya Everton Bw. Shane Mcgeown
(kushoto) baada ya kutoa maelekezo ya vifaa mbalimbali vya kutunza mazingira ya
Uwanja wa Taifa leo Jijini Dar es Salaam.
(Picha na Lorietha Laurence WHUSM).




0 Comments