Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili Marehemu Hassan Rashid Shebuge,nyumbani kwa marehemu
Mbagala Rangi Tatu.
Marehemu Hassan Shebuge ambaye alikuwa
Karani wa Baraza la Mawaziri alifariki jana tarehe 6, Julai katika
hospitali ya Muhimbili kwa shinikizo la Damu. (# Picha na Ofisi ya
Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akisaini kitabu cha kumbukumbu cha maombelezo ya Marehemu Hassan Rashid Shebuge,nyumbani kwa marehemu
Mbagala Rangi Tatu.
Marehemu Hassan Shebuge ambaye alikuwa
Karani wa Baraza la Mawaziri alifariki jana tarehe 6, Julai katika
hospitali ya Muhimbili kwa shinikizo la Damu.
(# Picha na Ofisi ya
Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akimpa mkono wa pole na kumfariji mjane wa Marehemu Hassan Rashid Shebuge,nyumbani kwa marehemu
Mbagala Rangi Tatu.
Marehemu Hassan Shebuge ambaye alikuwa
Karani wa Baraza la Mawaziri alifariki jana tarehe 6, Julai katika
hospitali ya Muhimbili kwa shinikizo la Damu.
(# Picha na Ofisi ya
Makamu wa Rais)
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa
akitoa salaam za Serikali mara baada ya kutoa heshima za mwisho kwa
Marehemu Hassan Rashid Shebuge.
Marehemu Hassan Shebuge ambaye alikuwa
Karani wa Baraza la Mawaziri alifariki jana tarehe 6, Julai katika
hospitali ya Muhimbili kwa shinikizo la Damu.
(# Picha na Ofisi ya
Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akisalimiana na Baba Mdogo wa Marehemu Hassan Rashid Shebuge,
Bw. Juma Hassan Shebuge mara baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu

0 Comments