Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana na Mwakilishi wa Wazee 400 kutoka
Wilaya ya Chato Bi. Winfrida Lawrent(65) kutoka Kata ya Kasenga kabla ya
kuwakabidhi msaada wa vyakula mbalimbali ikiwemo Kilo 10,000 za Mchele, Kilo
10,000 za Unga wa mahindi, Kilo 4000 Maharage, Mafuta, Sabuni pamoja na Sukari.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana na Mwakilishi wa Wazee 400 kutoka
Wilaya ya Chato Bw. AnatoryBisate (64) kabla
ya kuwakabidhi msaada wa vyakula mbalimbali ikiwemo Kilo 10,000 za Mchele, Kilo
10,000 za Unga wa mahindi, Maharage kilo 4000, Mafuta, Sabuni pamoja na Sukari.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwakabidhi kwa pamoja mafuta waakilishi wa Wazee
kutoka kata ya Kasenga AnatoryBisate
(64) kulia pamoja na Bi. Winfrida Lawrent(65) kushoto mara baada ya
kuzungumza na wazee 400 katika Ukumbi wa Mshikamano SACCOS Chato mkoani Geita.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akiimba pamoja na wanakwaya wa Mwagazege mara
baada ya kuwasili katika ukumbi wa Mshikamano SACCOS Chato mkoani Geita.
Mama Janeth Magufuli akiwasili katika eneo la mkutano mara baada ya kupokewa na Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga Chato mkoani Geita.
Mama
Janeth Magufuli akiwa na viongozi wengine wa mkoa akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Geita
Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga
wakwanza kushoto wakati wa dua kabla ya kuzungumza wazee wasiojiweza
zaidi ya 400.
Mama Janeth
Magufuli akifurahi pamoja Naibu Waziri wa nishati na Madini Dkt. Medard
Kalemani wakati Kwaya ya Mwakazege ya kutoka Chato ilipokuwa ikitumbuiza kabla
ya kuzungumza wazee wasiojiweza zaidi ya 400.
Picha namba 10-12. Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akizungumza na Wazee wasiojiweza zaidi ya 400
kutoka Wilaya ya Chato katika Ukumbi wa Mshikamano Saccos.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na viongozi
mbalimbali wa mkoa, Wilaya na Chama waliojumuika na Waakilishi wa wazee
wasiojiweza zaidi ya 400 Chato mkoani Geita.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili.
Wazee
wakishangilia wakati wa hotuba ya mgeni rasmi.
PICHA NA IKULU












0 Comments