MSTAHIKI
Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita amtembelea Askofu wa Jimbo kuu
Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinal Pengo Ofisini kwake leo ,Kanisa
la Mtakatifu Joseph jijini leo.baada ya
kutoka nje kwa matibabu.
Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita
akisalimiana na Askofu Mkuu wa jimbo Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama
Polycarp Kardinal Pengo alipomtembelea ofisini kwake mapema leo.
Askofu
Mkuu wa jimbo Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinal Pengo
akizungumza na Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita kuhusu hali
ya afya yake alipomtembelea leo Ofisini kwake ,kanisa la Mtakatifu. Joseph.
Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya
Mwita akipata Baraka kutoka kwa Askofu Mkuu wa jimbo Katoliki la Dar es Salaam
Mwadhama Polycarp Kardinal Pengo alipomtembelea ofisini kwake leo, katika
kanisa la Mtakatifu Joseph leo alipomtembelea kumjilia hali yake.



0 Comments