Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO
Dkt.Hassan Abbasi(katikati) na Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali (TSN)
Dk. Jimmy Yonaz(kulia) wakijadili jambo na Katibu Mkuu Wizara ya
Viwanda,Biashara na Uwekezaji (Biashara na Uwekezaji) Prof.Adolf Mkenda walipotembele
katika Maonesho ya 41 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika Jijini Dar es
Salaam
Mkurugenzi
wa Idara ya Habari-MAELEZO Dkt.Hassan Abbasi akipata maelezo kutoka kwa Afisa
Masoko wa Wizara ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji Bw.Ally Mayai alipotembele
banda hilo katika Maonesho ya 41 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika Jijini
Dar es Salaam
Mkurugenzi
wa Idara ya Habari-MAELEZO Dkt.Hassan Abbasi(katikati), Mhariri Mtendaji wa
Magazeti ya Serikali (TSN) Dk. Jimmy Yonaz(kulia) na Mkurugenzi Msaidizi Idara
ya Habari-MAELEZO(Huduma za Habari) Bw.Rodney Thadeus wakipata maelezo kutoka
kwa Paul Michael Mkurugenzi wa Kiwanda cha Bidhaa za Ngozi cha P.M.Tito’s
walipotembelea Maonesho ya 41 ya Kimataifa ya Biashara leo Jijini Dar es
Salaam.
Mkurugenzi
wa Idara ya Habari-MAELEZO Dkt.Hassan Abbasi na Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya
Serikali (TSN) Dk. Jimmy Yonaz wakipata maelezo ya namna picha za video za
zamani zilivyokuwa zinahifadhiwa alipotembelea banda la Shirika la Utangazaji
Tanzania (TBC) katika Maonesho ya 41 ya Kimataifa ya Biashara leo Jijini Dar es
Salaam.
Mhariri
Mtendaji wa Magazeti ya Serikali (TSN) Dk. Jimmy Yonaz akimpa maelezo
Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Dkt.Hassan Abbasi namna wanavyofanya
shughuli zao, alipotembelea banda la hilo katika Maonesho ya 41 ya Kimataifa ya
Biashara leo Jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi
wa Idara ya Habari-MAELEZO Dkt.Hassan Abbasi akisaini kitabu cha wageni
alipotembelea banda la Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) katika Maonesho ya 41
ya Kimataifa ya Biashara Leo Jijini Dar es Salaam, Kushoto ni Mhariri Mtendaji
wa Magazeti ya Serikali (TSN) Dkt. Jimmy Yonaz
PICHA NA IDARA YA
HABARI-MAELEZO






0 Comments