Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na
Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Bella Bird wakivuta utepe kuashiria uwekaji
wa jiwe la msingi mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam katika eneo
la Bandari hiyo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru
Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Bella Bird mara baada ya kuweka jiwe la
msingi mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kabla
ya kuweka jiwe la msingi mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Baadhi
ya mabalozi kutoka nchi mbalimbali wakifatilia Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kabla ya kuweka jiwe la msingi
mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza
Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Bella Bird mara baada ya kutoa hotuba yake
kabla ya uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es
Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi
wakati Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Bella Bird alipokuwa akisoma hotuba
yake.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo
na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Bella Bird wakati wakitazama kipeperushi
ya maelezo ya Mradi wa uboreshaji wa Bandari jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, Mkurugenzi Mkazi wa
Benki ya Dunia Bella Bird pamoja na viongozi wengine wakiimba wimbo wa Taifa
mara baada ya kuwasili katika eneo la Bandari jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akicheza muziki
pamoja na Banana Zorro, Mrisho Mpoto, pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya
Dunia Bella Bird mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi Uboreshaji wa Bandari
ya Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma mara
baada ya tukio la uwekaji wa jiwe la msingi Uboreshaji wa Bandari ya Dar es
Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi
pamoja na viongozi wengine waliosimama wakati Banana Zorro pamoja na Mrisho
Mpoto walipokuwa wakiimbawimbo wa Aamka Tufanye kazi kabla ya tukio la uwekaji
wa jiwe la msingi Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU












0 Comments